• HABARI MPYA

    Saturday, April 25, 2015

    MAN CITY YARUDI NAFASI YA PILI LIGI KUU ENGLAND

    Aguero celebrates after scoring his 20th Premier League goal of the season for Manuel Pellegrini's side
    Mshambuliaji wa Manchester City, Sergio Aguero akishangilia baada ya kufunga bao lake la 20 katika Ligi Kuu ya England msimu huu katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Aston Villa Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya City yalifungwa na Aleksandar Kolarov na Fernandinho, wakati wa Villa yalifungwa na Tom Cleverley na Carlos Sanchez. Matokeo hayo yanaipandisha timu ya Manuel Pellegrini juu ya Manchester United na Arsenal nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu.

    PICHA ZAIDI NENDA: 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN CITY YARUDI NAFASI YA PILI LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top