• HABARI MPYA

    Sunday, April 26, 2015

    BAYERN MUNICH MABINGWA TENA BUNDESLIGA

    Bayern were celebrating their latest title on Sunday and they tweeted this photo via their official account 
    Bayern Munich wametwaa tena ubingwa wa Ligi Kuu Ujerumani, Bundesliga kwa mara ya 25 baada ya waliokuwa wapinzani wao katika mbio za taji, Wolfsburg kufungwa 1-0 na Borussia Monchengladbach leo. Timu ya Pep Guardiola jana iliifunga Hertha Berlin 1-0 Uwanja wa Allianz Arena. Ikumbukwe Bayern pia wametinga Nusu Fainali za Kombe la Ujerumani na Ligi ya Mabingwa.

    PICHA ZAIDI NENDA: 

    http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3056409/Bayern-Munich-secure-25th-Bundesliga-title-Borussia-Moenchengladbach-defeat-Wolfsburg-1-0-alive-treble-hopes.html#ixzz3YRzKZztP 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BAYERN MUNICH MABINGWA TENA BUNDESLIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top