• HABARI MPYA

    Thursday, April 16, 2015

    TFF YATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KWA KHAMIS MCHA

    SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetuma salamu za rambirambi kwa mchezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Khamis Mcha kwa kufiwa na baba yake mzazi Mcha Khamis (pichani kushoto).
    TFF inampa pole Khamis pamoja na familia yake, ndugu,jamaa, marafiki na klabu ya Azam FC na kusema iko pamoja nao katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo, marehem Mcha alifariki dunia juzi kisiwani Zanzibar.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TFF YATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KWA KHAMIS MCHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top