• HABARI MPYA

    Tuesday, April 14, 2015

    JUVE YAIPIGA KIDUDE MONACO, CHOMOA CHOMOA NA WEWE

    Juventus pair Giorgio Chiellini and Arturo Vidal lose out to Monaco forward Anthony Martial in an aerial duel 
    Wachezaji wa Juventus, Giorgio Chiellini na Arturo Vidal wakimdhibiti mshambuliaji wa Monaco, Anthony Martial katika Robo Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu Uwanja wa Juventus. Juve imeshinda 1-0, bao pekee Arturo Vidal kwa penalti dakika ya 57, kufuatia beki wa Monaco, Ricardo Carvalho kumchezea rafu Alvaro Morata.

    PICHA ZAIDI NENDA: 

    http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3038839/Juventus1-0-Monaco-Artuo-Vidal-scores-penalty-spot-Italians-advantage-Champions-League-quarter-final-leg.html#ixzz3XJprTJG1 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JUVE YAIPIGA KIDUDE MONACO, CHOMOA CHOMOA NA WEWE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top