• HABARI MPYA

    Tuesday, April 14, 2015

    HAKUNA MBABE REAL NA ATLETICO MADRID VICENTE CALDERON


    Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akidhibitiwa na wachezaji wa Atletico Madrid, Koke na Mario Suarez katika Robo Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu Uwanja wa Vicente Calderon mjini Madrid. Timu hizo zilitoka 0-0.

    PICHA ZAIDI NENDA: 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HAKUNA MBABE REAL NA ATLETICO MADRID VICENTE CALDERON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top