• HABARI MPYA

    Sunday, February 22, 2015

    LIVERPOOL YAICHARAZA 2-0 SOUTHAMPTON ST MARY'S



    Mshambuliaji wa Liverpool, Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Southampton Uwanja wa St Mary's. Bao lingine la Liverpool katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya England lilifungwa na Phillipe Coutinho.

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2964053/Southampton-0-2-Liverpool-Philippe-Coutinho-Raheem-Sterling-strike-Reds-beat-Saints-close-four.html#ixzz3SVXilzZ2 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL YAICHARAZA 2-0 SOUTHAMPTON ST MARY'S Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top