![]() |
| Mshambuliaji wa Simba SC, Yussuf Baraka akimtoka beki wa Mwadui FC katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Simba SC ilishinda 3-1 |
![]() |
| Ibrahim Hajibu wa Simba SC kulia akimtoka beki wa Mwadui FC |
![]() |
| Mshambuliaji wa SImba SC, Yussuf Baraka akipambana na beki wa Mwadui, Joram Mgeveke |
![]() |
| Beki wa Simba SC, Hassan Ramadhani Kessy akipasua katikati ya wachezaji wa Mwadui |
![]() |
| Kiungo wa Simba SC, Abdallah Seseme akimlamba chenga kiungo wa Mwadui FC |
![]() |
| Kiungo wa Simba SC, Abubakar Twaha akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Mwadui |








.png)
0 comments:
Post a Comment