• HABARI MPYA

    Monday, January 20, 2014

    TORRES NJE WIKI KADHAA, MOURINHO SASA AMPA NAFASI DEMBA BA

    MSHAMBULIAJI Fernando Torres atakuwa nje ya Uwanja kwa wiki chache baada ya kuumia goti wakati Chelsea ikiichapa mabao 3-1 Manchester United jana.Mspanyola huyo aliingia uwanjani dakika ya 79 kuchukua nafasi ya shujaa wa hat-trick, Samuel Eto’o lakini akatolewa nje kwa matibabu kabla ya mechi kumalizika.
    Change: Torres had replaced hat-trick hero Samuel Eto'o before picking up the injury which will keep him out for three weeksMabadiliko: Torres aliingia kuchukua nafasi ya shujaa wa hat-trick, Samuel Eto'o kabla ya kuumia
    In from the cold? Demba Ba now looks set to return to the foldDemba Ba sasa anatarajiwa kuanza kucheza baada ya Torres kuumia
     
    Na kocha Jose Mourinho ameiambia Sky Sports: "Hatutakuwa na Fernando Torres kwa wiki chache, baada ya kuumia mguu wake,".
    Mourinho amesema sasa atamgeukia Demba Ba ili azibe pengo la majeruhi Torres. Mshambuliaji huyo wa Senegal hajacheza katika ligi kwa mwezi  na, licha ya tetesi kwamba ataondoka klabu hiyo mwezi huu, sasa intake kwamba atabaki Stamford Bridge.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TORRES NJE WIKI KADHAA, MOURINHO SASA AMPA NAFASI DEMBA BA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top