• HABARI MPYA

    Tuesday, January 14, 2014

    SIMBA SC ILIFUNGWA JANA, LAKINI UKWELI ILIPAMBANA NA LABDA HAIKUWA BAHATI YAO TU

    Winga wa Simba SC, Haroun Chanongo akipiga krosi baada ya kumtoka beki wa KCC ya Uganda katika mchezo wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Kushoto ni mshambuliaji Amisi Tambwe akijivuta kuiwahi krosi hiyo. KCC ilishinda bao 1-0 na kutwaa Kombe.
    Chanongo akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa KCC
    Kiungo wa Simba SC, Ramadhani Chombo 'Redondo' anapiga shuti
    Redondo akipambana na Stephen Bengo wa KCC
    Kipa wa KCC, Omar Magoola akiwa amepumzika na mpira baada ya kuudaka ili kupoteza muda kulinda ushindi wa 1-0. Kulia Amisi Tambwe wa Simba SC akimuangalia hasira
    Hapa Tambwe akidhibitiwa na mabeki watatu
    Wa jina; Ramadhani SIngano kulia akiondoka na mpira baada ya kumuacha chini baki wa KCC, huku Ramadhano Chombo 'Redondo akimfuata ili kumsaidia
    Singano akitafuta mbinu za kumtoka beki wa KCC
    Nahodha wa Simba SC jana, Amri Kiemba akimtambulisha mgeni rasmi, Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein kwa wachezaji wenzake wakati anasalimiana na vikosi vya timu zilizokutana katika fainaki
    Taji la 40 haikuwezekana; Kikosi cha Simba SC jana ambacho kama kingeshinda kingeifanya klabu hiyo ifikishe mataji 40 iliyowahi kutwaa

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC ILIFUNGWA JANA, LAKINI UKWELI ILIPAMBANA NA LABDA HAIKUWA BAHATI YAO TU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top