• HABARI MPYA

    Monday, January 13, 2014

    REAL MADRID YAZIPUMULIA BARCA NA ATLETICO KILELENI..LA LIGA NAYO MWAKA HUU USIIPIMIE!

    TIMU ya Real Madrid imepunguza pengo la pointi hadi kubaki tatu dhidi ya vinara Barcelona na Atlecito Madrid wenye pointi 50 kila mmoja, kufuatia ushindi wa 1-0 ugenini dhidi ya Espanyol.
    Shukrani kwake kiungo wa zamani wa Tottenham, Luka Modric aliyefanya kazi nzuri ya kutengeneza bao hilo pekee linaloifanya Real iendelee kuwamo kwenye mbio za ubingwa kwa kufikisha pointi 47.
    Nyota huyo wa Croatia, alileta raha ndani ya kikosi cha Carlo Ancelotti dhidi ya Espanyol baada ya kupiga shuti zuri la mpira wa adhabu lililounganishwa kimiani na beki Mreno, Pepe.
    Juu kwa juu: Beki wa Real Madrid, Pepe akiruka juu kufungwa kwa kichwa bao pekee la ushindi la timu yake jana
    Much needed: The win sees Real close the gap on Barcelona and Atletico after they drew on Saturday
    Hapa anapongezwa na wenzake baada ya kazi nzuri
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: REAL MADRID YAZIPUMULIA BARCA NA ATLETICO KILELENI..LA LIGA NAYO MWAKA HUU USIIPIMIE! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top