• HABARI MPYA

    Saturday, January 11, 2014

    MAN UNITED YAZINDUKA, YAICHAPA 2-0 SWANSEA CITY

    KOCHA David Moyes amepumua kidogo baada ya Manchester United kushinda 2-0 dhidi ya Swansea City usiku huu Uwanja wa Old Trafford na kuepuka kipigo cha nne mfululizo na cha tatu Uwanja wa nyumbani. 
    Ushindi wa United leo katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya England umetokana na mabao ya Antonio Valencia dakika ya 47 na Dany Welebeck dakika ya 59
    United sasa inatimiza pointi 37 baada ya kucheza mechi 21, ingawa inabaki nafasi ya saba kwenye msimamo.

    La pili: Danny Welbeck akishangilia baada ya kufunga bao la piliAhead: Valencia celebrates after putting United 1-0 up just after the break at Old Trafford
    La kwanza: Valencia akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN UNITED YAZINDUKA, YAICHAPA 2-0 SWANSEA CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top