• HABARI MPYA

    Thursday, January 16, 2014

    MAN CITY YATIMIZA MABAO 99 MSIMU MMOJA ENGLAND BAADA YA KUPIGA MTU 5-0 JANA...HILI TIMU LINATISHA AISEE

    MANCHESTER  City imeifumua mabao 5-0 Blackburn katika mchezo wa marudiano wa Kombe la FA Raundi ya Nne jana usiku England Uwanja wa Etihad.
    Mabao ya City yamefungwa na Alvaro Negredo mawili dakika za 45, 47, Edin Dzeko mawili pia dakika za 67 na 79 na Sergio Aguero dakika ya 73. 
    City sasa imefikisha jumla ya mabao 99 iliyofungwa msimu huu na sasa watu wanasubiri kwa hamu kuona nani atafungwa bao la 100 katika mchezo ujao.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN CITY YATIMIZA MABAO 99 MSIMU MMOJA ENGLAND BAADA YA KUPIGA MTU 5-0 JANA...HILI TIMU LINATISHA AISEE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top