Katika zulia jekundu: Cristiano Ronaldo (kushoto) akiwa na mpenzi wake, Irina Shayk na mtoto wao wake wa kiume katika sherehe za tuzo ya Mwanasoka Bora wa Dunia, Ballon d'Or zinazoendelea hivi sasa mjini Zurich, Uswisi.
Franck Ribery naye amefika mpenzi wake, mwanamitindo Adriana Lima


.png)
0 comments:
Post a Comment