• HABARI MPYA

    Tuesday, November 12, 2013

    SWEDEN YAMPA HESHIMA KUBWA IBRAHIMOVIC...PICHA YAKE YAWEKWA KATIKA STEMPU ZA POSTA

    NAFASI ya Sweden katika fainali zijazo za Kombe la Dunia inaweza kuwa bado ipo shakani, lakini hiyo haijazuia Mamala ya Posta nchini humo kumpa heshima mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic - ya kutumia picha yake katika stempu.
    Mshambuliaji huyo wa PSG, ambaye ataongoza safu ya ushambuliaji ya nchi hiyo katika mchezo wa kwanza wa mchujo dhidi ya Ureno Ijumaa, yupo katika zoezi la kutengeneza aina tano za stempu ambazo zitatolewa Machi mwakani.
    Ibrahimovic alisema: "Nimepata fursa ya kuwa kwenye kona ya stempu na itakuwa babu kubwa zoezi likikamilika.
    Daraja la kwanza: Picha ya Zlatan Ibrahimovic itatumika katika stempu za Posta SwedenNational hero: Ibrahimovic whips his shirt off to celebrate his fourth goal against England in November 2012
    National hero: Ibrahimovic whips his shirt off to celebrate his fourth goal against England in November 2012
    Red hot form: Ibrahimovic rises highest to score his third goal in PSG's 3-1 win against Nice on Saturday
    Red hot form: Ibrahimovic rises highest to score his third goal in PSG's 3-1 win against Nice on Saturday
    Rivalry renewed: Ibrahimovic will come up against Cristiano Ronaldo when Sweden take on Portugal in their World Cup play-off
    Rivalry renewed: Ibrahimovic will come up against Cristiano Ronaldo when Sweden take on Portugal in their World Cup play-off
    "Ni heshima kubwa kuwa katika stempu ya posta, nina ninajivunia sana kuteuliwa,"
    Matumaini ya Sweden kucheza Fainali za Kombe la Dunia za Brazil yapo begani mwa mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 32, ambaye hivi karibuni ametajwa kwenye orodha ya wachezaji wanaowania tuzo za Mwanasoka Bora wa Dunia 2013, FIFA Ballon d'Or na tuzo ya Bora Bao la Mwaka, Puskas kutokana na bao lakealilofunga dhidi ya England.
    In control: Ibrahimovic's stamp collection is set for release just a few months before the start of the 2014 World Cup in Brazil
    In control: Ibrahimovic's stamp collection is set for release just a few months before the start of the 2014 World Cup in Brazil
    Danger man: Ibrahimovic has helped PSG to the top of the Ligue 1 table in France
    Danger man: Ibrahimovic has helped PSG to the top of the Ligue 1 table in France
    That's the hat-trick: The Swede crashes home his third goal against England direct from a free-kick late last year
    That's the hat-trick: The Swede crashes home his third goal against England direct from a free-kick late last year
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SWEDEN YAMPA HESHIMA KUBWA IBRAHIMOVIC...PICHA YAKE YAWEKWA KATIKA STEMPU ZA POSTA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top