![]() |
| Hapa kocha Kim Poulsen anawaelekeza vijana namna ya kukokota mpira |
![]() |
| Anawaelekeza viungo namna ya kuwachzesha washambuliaji |
![]() |
| Anawaelekeza viungo namna ya kukaba wapinzani wanapokuwa na mpira |
![]() |
| Anawaelekeza mabeki namna ya kujipanga wakati kona au mipira ya kutokea pembeni inaelekezwa langoni kwao |
![]() |
| Anamuelekeza Ivo Mapunda namna ya kujipanga wakati wa kona |
![]() |
| Anawaelekeza mabeki namna ya kujipanga wakati wa kona |
![]() |
| Kipa Aishi Manula akizuia mpira |
![]() |
| Kutoka kulia Kevin Yondan, Salum Abubakar 'Sure Boy' na Said Morad wakifurahia baada ya mazoezi |
![]() |
| Munza vifaa wa timu, Freddy akikusanya mipira baada ya mazoezi |












.png)
0 comments:
Post a Comment