• HABARI MPYA

    Saturday, November 30, 2013

    RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA KOMBE LA DUNIA MWANZA, MWALI WA FIFA AWASILI DAR LEO


    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akilifunua Kombe la Dunia la FIFA katika Uwanja wa michezo wa CCM Kirumba mjini Mwanza jana jioni baada ya kulipokea Kombe hilo lililotua nchini kwa mara ya pili, ambapo leo wananchi watapata fursa ya kupiga nalo picha. 
     Rais Kikwete, akilinyanyua Kombe hilo kwa furaha baada ya kuzindua rasmi shambra shambra za ujio wake nchini katika uwanja wa Kirumba jijini Mwanza jana jioni.
    Rais Kikwete, akifurahia hukua kiwa ameliinua Kombe hilo juu kuwaonyesha wananchi waliojitokeza kwenye Uwanja wa Kirumba kulipokea. Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam, leo watapata fursa ya kupiga picha na kombe hilo katika Uwanja wa Taifa.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA KOMBE LA DUNIA MWANZA, MWALI WA FIFA AWASILI DAR LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top