• HABARI MPYA

    Monday, November 11, 2013

    VIDIC ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI BAADA YA KUUMIZWA NA DE GEA JANA

    NAHODHA wa Manchester United, Nemanja Vidic ameruhusiwa kutoka hospitali alikokuwa amelazwa kwa matibabu baada ya kuumia katika mechi ya jana ya Ligi Kuu England dhidi ya Arsenal.
    Vidic aliondoka uwanjani muda mfupi kabla ya mapumziko baada ya kugongana na mchezaji mwenzake, kipa David de Gea timu yake ikishinda 10.
    Mserbia huyo alikuwa katika hali mbaya na moja kwa moja akakimbizwa hospitali kwa vipimo na matibabu zaidi kabla ya kuruhusiwa baadaye.
    Impact: David de Gea and Nemanja Vidic collide from a cross
    Down and out: Vidic falls to the ground after clashing with his own goalkeeper
    Down and out: Vidic falls to the ground after clashing with his own goalkeeper
    Withdrawn: A bloodied Vidic was then substituted at half-time
    Withdrawn: A bloodied Vidic was then substituted at half-time

    "Nemanja Vidic ameruhusiwa kutoka hospitali baada ya kuumia kichwani,"imesema taarifa ya United. Vidic hawezi kucheza tena hadi Novemba 24, wakati United itakapoifuata Cardiff katika mechi ya Ligi Kuu.
    Pamoja na hayo hakuna muda maalum uliotajwa wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 kurejea mazoezini.
    Groggy: Vidic looks dazed as he led off the pitch after the collision
    Groggy: Vidic looks dazed as he led off the pitch after the collision
    Ouch: Vidic holds his head after the first-half incident
    Ouch: Vidic holds his head after the first-half incident
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: VIDIC ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI BAADA YA KUUMIZWA NA DE GEA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top