• HABARI MPYA

    Sunday, November 03, 2013

    PRISONS YAFUNGWA 1-0 NA JKT OLJORO MBEYA LEO

    Prisons ya Mbeya (pichani) leo imefungwa 1-0 na JKT Oljoro ya Arusha kwenye Uwanja wa Sokoine Mbeya, bao pekee la  kiungo Amiri Hamad dakika ya sita. Hicho ni ipigo cha pili mfululizo kwa Prisons kwenye Uwanja wake huo wa nyumbani, baada ya kufungwa 2-0 na Prisons katika mchezo uliopita mapema wiki hii. Hali ni mbaya sasa kwa kocha Jumanne Challe anayeifundisha timu hiyo ya Jeshi la Magereza nchini.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PRISONS YAFUNGWA 1-0 NA JKT OLJORO MBEYA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top