• HABARI MPYA

    Wednesday, November 06, 2013

    MAMBO YALIVYOKUWA NANI MTANI JEMBE JANA RY MISANGA, SHINYANGA

     Msanii toka Mwanza Bw Simbapori akionyesha kipaji cha kucheza juu ya meza na kuwa burudani ya aina yake kwa wakazi wa Manispaa ya Shinyanga ktk baa ya RY Misanga. Ni katika kampeni za NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya Kilimanjaro jana.

     Wasanii toka MZA BwKiduku na Simbapori wakiinadi bia ya Kilimanjaro
      Mkazi wa Manispaa ya Shinyanga Bw Juma a.k.a mzee wa Colgate akijiandaa kupokea zawadi ya jezi baada ya kushinda
               
     Shabiki wa timu ya Yanga akionyesha umahiri wa kucheza jukwaani na chupa iliyojaa bia kichwani
     Wakazi wa Manispaa ya Shinyanga na viunga vyake wakisakata rumba
    Dansa maarufu Shinyanga Bi Mariam Peter a.k.a. Fanta akipagawisha wakazi wa Shinyanga
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAMBO YALIVYOKUWA NANI MTANI JEMBE JANA RY MISANGA, SHINYANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top