KLABU ya Bayern Munich imepaa kileleni mwa Bundesliga kwa pointi nne zaidi na sasa imeweka rekodi mpya ya kucheza mechi 37 bila kufungwa, kufuatia ushindi wa 3-0 dhidi ya Augsburg jana.
Jerome Boateng, Franck Ribery na Thomas Muller ndio walifunga mabao hayo.
Ushindi huo unaifanya Bayern - ambayo mara ya mwisho ilifungwa katika ligi Oktoba 2012 - iipiku rekodi ya Hamburg kucheza mechi 36 bila kufungwa kati ya Januari 1982 na Januari 1983.

Unstoppable: Bayern Munich players celebrate after securing victory
Borussia Dortmund ilifungwa 2-1 na Wolfsburg. Dortmund walitangulia kupata bao dakika za majeruhi kipindi cha kwanza kupitia kwa Marco Reus, lakini Ricardo Rodriguez akasawazisha dakika ya 56 na Ivica Olic akafunga la ushindi dakika ya 69.

Rare goal from defence: Jerome Boateng got Bayern off to the perfect start

Surprise: Wolfsburg's Ivan Olicscored as his side beat Borussia Dortmund 2-1



.png)
0 comments:
Post a Comment