Bondia Mmarekani, Deontay Wilder 'Bronze Bomber' akiondoka kurejea kwenye kona yake baada ya kumuangusha mpinzani wake, Tyson Fury 'Gipsy King' katika raundi ya 12 Alfajiri ya leo ukumbi wa Staples Center mjini Los Angeles, Marekani. Hata hivyo, Muingereza Fury aliyecheza vizuri, aliinuka na kumalizia pambano na matokeo yakawa droo, Wilder aliyemuangusha mpinzani wake raundi ya tisa pia anabaki na mkanda wake wa uzito wa juu wa WBC PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment