Raheem Sterling akipongezwa na mchezaji mwenzake, Fernandinho (kushoto) baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 57 ambalo linakuwa la nane kwake msimu huu katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Bournemouth kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Bernardo Silva dakika ya 16 na Ilkay Gundogan dakika ya 79 wakati la Bournemouth limefungwa na Callum Wilson dakika ya 44 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment