Leroy Sane akishangilia na Gabriel Jesus baada ya kuifungiaa mabao mawili Manchester City dakika za 45 na ushei na 61 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Hoffenheim usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Ethad. Bao pekee la Hoffenheim lilifungwa na Andrej Kramaric kwa penalti dakika ya 16 na Man City imemaliza na pointi 13 kileleni mwa kundi ikifuatiwan na Lyon ya Ufaransa yenye pointi nane na zote zinafuzu 16 Bora PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment