Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao matatu dakika za 43, 47, na 60 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya wenyeji, Levante usiku wa jana Uwanja wa Ciudad de Valencia, hiyo ikiwa hat trick yake ya 31 katika La Liga. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Luis Suarez dakika ya 35 na Gerard Pique dakika ya 88 na sasa timu hiyo inafikisha pointi 34 baada ya kucheza mechi 16, sasa ikizizidi kwa pointi tatu Sevilla na Atletico Madrid zinazofuatia kwenye nafasi ya pili na ya tatu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment