Edin Hazard akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika ya 33 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Brighton & Hove Albion leo Uwanja wa Amex kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Hazard pia alitoa pasi ya bao la kwanza la The Blues lililofungwa na Pedro dakika ya 17, wakati la Brighton limefugwa na Solly March dakika ya 66 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment