Kipa wa Southampton, Alex McCarthy akiokoa dhidi ya mshambuliaji wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St. Mary's. Southampton imeshinda 3-1 mabao yake yakifungwa na Danny Ings mawili dakika za 20 na 44 na Charlie Austin dakika ya 85, wakati ya Arsenal yamefungwa na Henrikh Mkhitaryan dakika za 28 na 53 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment