Kiungo Mfaransa, Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao pekee dakika ya 16 tu katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Qarabaq kwenye mchezo wa Kundi E Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Emirates mjini London. Kwa ushindi huo, Arsenal inamaliza na pointi 16 mbele ya Sporting iliyomaliza na pointi 13 wakizipiku Vorskla na Qarabag zilizomaliza na pointi tatu kila moja PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment