Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Juventus dakika ya pili akimalizia pasi ya Paulo Dybala na dakika ya 65 kwa penalti katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Sampdoria kwenye mchezo wa Serie A Uwanja wa Allianz mjini Torino. Bao la Sampdoria limefungwa na Fabio Quagliarella kwa penalti dakika ya 33 na kwa ushindi huo, Juve inafikisha pointi 53 baada ya kucheza mechi 19 ikiendelea kuongoza Serie A kwa pointi tisa zaidi ya Napoli wanaofuatia katika nafasi ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment