Xherdan Shaqiri akishangilia kibosi baada ya kuifungia mabao mawili Liverpool dakika za 73 na 80 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Manchester United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Bao lingine la Liverpool inayofikisha pointi 45 na kupanda kileleni ikiizidi kwa pointi moja Manchester City, limefungwa na Sadio Mane dakika ya 24, wakati la Man United limefungwa na Jesse Lingard dakika ya 33 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment