Wilfried Ndidi wa Leicester City akiuwahi mpira dhidi ya Kevin De Bruyne katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa King Power mjini Leicester. Leicester City ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Marc Albrighton dakika ya 19 na Ricardo Pereira dakika ya 81, wakati la Man City lilifungwa na Bernardo Silva dakika ya 14 na baada ya kipigo hicho cha pili mfululizo na cha tatu jumla cha msimu, sasa kikosi cha kocha Pep Guardiola kinazidiwa pointi sita na vinara, Liverpool (49-44) PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment