Son Heung-Min akishangilia baada ya kuifungia Tottenham Hotspur bao la tatu dakika ya 55 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Southampton usiku wa jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Wembley mjini London. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Harry Kane dakika ya tisa na Lucas Moura dakika ya 51, wakati la Southampton limefungwa na Charlie Austin dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment