Raul Jimenez akishangilia baada ya kuifungia Wolverhampton Wanderers bao la kwanza dakika ya 59 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Chelsea usiku wa jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Molineux mjini Wolverhampton, West Midlands. Bao la pili la Wolves lilifungwa na Diogo Jota dakika ya 63, wakati la Chelsea lilifungwa na Ruben Loftus-Cheek dakika ya 18 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment