Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger akimuangalia kiungo wake, Jack Wilshere akifanya mazoezi jana kujiandaa na mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya wenyeji, Watford Uwanja wa Vicarage Road ambao utakuwa wa kwanza kwake msimu huu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
-



.png)
0 comments:
Post a Comment