Kiungo Tiemoue Bakayoko (kulia) akiwa mazoezini na Chelsea jana kujiandaa kwa mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Crystal Palace Uwanja wa Selhurst Park mjini London. Bakayoko atakuwa na mechi saba za kucheza nafasi ya N'golo Kante ambaye ni majeruhi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
-



.png)
0 comments:
Post a Comment