Laurent Depoitre akipiga mpira kuifungia bao la pili Huddersfield dakika ya 33 baada ya kumzunguka kipa wa Manchester United, David De Gea Uwanja wa The John Smith, Huddersfield, West Yorkshire katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo. Huddersfield imeshinda 2-1, bao la kwanza likifungwa na Aaron Mooy dakika ya 28, wakati la Man United limefungwa na Marcus Rashford dakika ya 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment