KIBENDERA CHA UHURU KIPO HIVI, NA HICHO NA NANGWANDA KIKOJE?
Kibendera cha kwenye kona ya Uwanja wa Uhuru, lango la Kusini kama kilivyonaswa na kamera yetu wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Jumapili iliyopita kati ya wenyeji, Simba SC na Mtibwa Sugar
0 comments:
Post a Comment