Jupp Heynckes mwenye umri wa miaka 72 jana akiiongoza kwa mara ya kwanza Bayern Munich baada ya kurejea kuchukua nafasi ya Carlo Ancelotti aliyeondolewa ikishinda 5-0 dhidi ya Freiburg katika mchezo wa Bundesliga Uwanja wa Allianz Arena. Mabao yalifungwa na Kingsley Coman, Thiago, Robert Lewandowski, Joshua Kimmich la kujifunga la Julian Schuster PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Dominant Verstappen & superb Hamilton recovery - driver ratings
-
BBC Radio 5 Live F1 commentator Harry Benjamin rates how the drivers
performed during the Bahrain Grand Prix in Malaysia.
3 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment