• HABARI MPYA

  Tuesday, July 17, 2018

  MAN UNITED WAONYESHA JEZI ZAO MPYA ZA NYUMBANI MSIMU UJAO

  Kiungo Mfaransa wa Manchester United, Paul Pogba akiwa amevaa jezi mpya ya nyumbani ya klabu hiyo kwa ajili ya msimu ujao. United wameweka kambi Marekani kujiandaa na msimu mpya, lakini Pogba ni miongoni mwa wachezaji ambao hawajaripoti baada ya fainali za Kombe la Dunia kwa ruhusa maalumu 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED WAONYESHA JEZI ZAO MPYA ZA NYUMBANI MSIMU UJAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top