Bondia Dillian Whyte akimtazama mpinzani wake, Joseph Parker baada ya kumuangusha chini kwa mara ya pili katika raundi ya tisa alipomchapa ngumi kali ya kushoto katika pambano la raundi 12 kuwania mkanda wa WBC uzito wa Silver Heavy ukumbi wa 02 Arena mjini London. Whyte alishinda kwa pointi za majaji wote ( 115-110, 114-111, 113-112) na kutwaa taji hilo la WBC lililokuwa wazi na kujiweka kwenye mazingira mazuri ya kuwania mkanda wa dunia, kwa uwezekano wa kurudiana na Muingereza mwenzake, Anthony Joshua baada ya kupoteza pambano la kwanza Desemba 12 mwaka 2015 kwa TKO raundi ya saba PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Olympics shock as star makes stunning defection to Australia - and he could
challenge Gout Gout
-
New Zealand's fastest man Eddie Osei-Nketia has officially changed
allegiances in a move that could have major ramifications for Australian
sprinting ahead...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment