Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia Arsenal mabao mawili dakika za 67 na 71 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya PSG katika mchezo wa kirafiki wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa Uwanja wa Taifa wa Singapore leo. Mabao mengine ya Arsenal ambayo sasa ipo chini ya kocha Mspaniola Unai Emery aliyemrithi Mfaransa Arsene Wenger yamefungwa na Mesut Ozil dakika ya 13, Rob Holding dakika ya 87 na Eddie Nketiah dakika ya 90 na ushei, wakati la PSG limefungwa na Christopher Nkunku dakika ya 60 kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
WRU hold talks with Ospreys owners to buy Cardiff
-
The Welsh Rugby Union will enter a "period of exclusivity" with Ospreys
owners Y11 Sport & Media to discuss buying rivals Cardiff.
7 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment