• HABARI MPYA

  Sunday, July 29, 2018

  CHELSEA YAISHINDA INTER MILAN KWA MATUTA UFARANSA

  Pedro akishangilia baada ya kuifungia bao la kuongoza Chelsea dakika ya nane katika sare ya 1-1 na Inter Milan kabla ya kushinda kwa penalti 5-4 kwenye mchezo wa kirafiki wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa usiku huu Uwanja wa Allianz Riviera mjini Nice, Ufaransa. Roberto Gagliardini aliisawazishia Inter dakika ya 49 akitumia makosa ya Tiemoue Bakayoko kabla ya Cesar Azpilicueta kufunga penalti ya ushindi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAISHINDA INTER MILAN KWA MATUTA UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top