Lucas Moura akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Tottenham Hotspur dakika za 28 na 44 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Roma katika mchezo Kombe la Mabingwa wa Kimataifa Uwanja wa San Diego County Credit Union mjini San Diego, California, Marekani. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Fernando Llorente dakika za tisa na 18, wakati la kufutia machozi la Roma limefungwa na Patrik Schick dakika ya tatu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
WRU hold talks with Ospreys owners to buy Cardiff
-
The Welsh Rugby Union will enter a "period of exclusivity" with Ospreys
owners Y11 Sport & Media to discuss buying rivals Cardiff.
6 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment