Mashabiki wa Yanga wakitazama mchezo baina ya timu yao dhidi ya Gor Mahia ya Kenya jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam
Hadi mapumziko Yanga walikuwa nyuma kwa mabao 2-0, laini mwishowe wakafungwa 3-2 katika mchezo huo wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika
Hawa ni mashabiki wa mahasimu wao, Simba wakiwatabiria kufungwa 3-0 mapema tu kabla ya mchezo huo kuanza
Binti mdogo (kulia) anaonekana akimsemesha jamaa ambaye 'hayupo kabisa' eneo aliloketi
Mashabiki wa Yanga kila mmoja kwa fikra na hisia zake jana
Loading...
0 comments:
Post a Comment