• HABARI MPYA

  Saturday, July 28, 2018

  POGBA AUACHA UFARANSA KWA MUDA, AWA MUARGENTINA

  Kiungo Mfaransa wa Manchester United, Paul Pogba akiwa amevaa jezi namba 21 ya timu ya taifa ya Argentina, ambayo huvaliwa na mchezaji mwenzake wa zamani Juventus, Paulo Dybala. Pogba aliyeipa Ufaransa Kombe la Dunia mwezi huu nchini Urusi, michuano ambayo Argentina haikufanya vizuri amepigwa picha hiyo katika kambi ya Manchester United kujiandaa na msimu mpya mjini Los Angeles, Marekani 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: POGBA AUACHA UFARANSA KWA MUDA, AWA MUARGENTINA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top