• HABARI MPYA

  Saturday, July 14, 2018

  JORGINHO TAYARI NI MALI YA CHELSEA KWA PANUNI MILIONI 57

  Kiungo Mtaliano mwenye asili ya Brazil, Jorge Luiz Frello Filho 'Jorginho' akiwa ameshika jezi ya Chelsea pamoja na kocha mpya wa timu hiyo, Maurizio Sarri kufuatia kukamilisha uhamisho wa Pauni 57 kutoka Napoli ya Italia. Jorginho alikuwa anatakiwa pia na Manchester City ambao wamelalamika Napoli kumlazimisha mchezaji huyo kuhamia Chelsea 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JORGINHO TAYARI NI MALI YA CHELSEA KWA PANUNI MILIONI 57 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top