• HABARI MPYA

  Saturday, July 14, 2018

  SIMBA SC YAMSAJILI DILUNGA ALIYEKUWA ANATAKIWA PIA NA YANGA

  Kiungo wa Mtibwa Sugar, Hassan Dilunga akisaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Simba SC leo mjini Dar es Salaam. Dilunga anayesajiliwa siku moja baada ya Simba SC kufungwa 1-0 na Azam FC katika fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame alikuwa anatakiwa pia na klabu yake ya zamani, Yanga SC
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YAMSAJILI DILUNGA ALIYEKUWA ANATAKIWA PIA NA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top