• HABARI MPYA

    Saturday, July 14, 2018

    MWENYEKITI AZAM ALIVYOFURAHIA NA KOMBE LA KAGAME JANA

    Makamu Mwenyekiti wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' akifurahia na taji la klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati lijulikanalo kama Kombe la Kagame baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Simba SC kwenye fainali jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MWENYEKITI AZAM ALIVYOFURAHIA NA KOMBE LA KAGAME JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top