• HABARI MPYA

  Friday, July 20, 2018

  ARSENAL CHINI YA KOCHA MPYA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA MOTO

  Mshambuliaji wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang (mbele) akiwa kwenye maji akiupoza mwili baada ya mazoezi ya leo Uwanja wa Colney mjini London chini ya kocha mpya, Mspaniola, Unai Emery aliyechukua nafasi ya kocha wa muda mrefu, Mfaransa Arsene Wenger. Arsenal inatarajiwa kwenda Singapore Jumapili kushiriki Kombe la Mabingwa wa Kimataifa 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL CHINI YA KOCHA MPYA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA MOTO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top