Mwanariadha wa Marekani, Tianna Bartoletta akiruka juu katika mashindano ya kuruka vihunzi ya wanawake ya Diamond League mjini Doha, Qatar. Tianna alishinda kwa kutumia muda wa dakika 6 na sekunde 99, ingawa awali Lorraine Ugen wa Uingereza alitangazwa mshindi kimakosa kabla ya dakika 10 baadaye kutajwa mshindi halisi. PICHA ZAIDI GONGA HAPA


.png)
0 comments:
Post a Comment