| Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco 'Adebayor' akitokwa damu baada ya kupasuliwa juu ya jicho la kushoto na beki wa Mbeya wa City, Yussuf Abdallah wakati wakigombea mpira wa juu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka 3-3. |
0 comments:
Post a Comment